Mbinu kwa ajili ya kumbukumbu za Historia ya Data
Kila kilichochunguzwa, na kila sampuli ni ya kipekee na ni muhimu katika historia ya elimu ya viumbe na mazingira asilia ya dunia. Kama data na sampuli hazitaandikwa au kuwekwa lebo vizuri, taarifa muhimu zinaweza kupotea Hapa tunaleta mbinu rahisi za kuhakikisha kuwa data zote unazokusanya zinahifadhiwa vizuri ili kuwasaidia wengine kujifunza.
Mada hii imewezeshwa, kwa msaada wa ‘Foundation Grainger’. Tafsiri imefanywa na François Jacquet, Sophy Machaga, Noah Mpunga, Sheila Reynolds, na Tyana Wachter.














































